chanjo

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

chanjo

  1. dawa anayopewa mtu kuzuia ugonjwa
  2. alama ya kuchanjwa

Tafsiri[hariri]