alama

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

alama[hariri]

  • mchoro au kitu cha kutambulisha kitu; ishara, athari, kielezo pia

alama ya cheo- kitu kinachoonyesha cheo cha mtu kama vile beji, tepe na kadhalika

alama za barabarani- ishara au michoro ya usalama ya barabarani

alama[hariri]

(sarufi) (katika uakifishaji)alama ya kuulizaalama katika maandishi(?) inayoashiria swali; alama ya mshangao alama katika maandishi(!) inayoashiria kushangaa; alama ya dukuduku alama katika maandishi(...) inayoashiria taharuki, msomaji ajalie mwenyewe au neno au maneno yameachwa, na kadhalika

alama[hariri]

maksi au tuzo

Tafsiri[hariri]