aibu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

aibu

 1. hali ya kuona soni mbele ya watu

Visawe[hariri]

 • fedheha
 • kinamasi
 • hizaya
 • tua
 • haya
 • soni
 • janaa
 • muazara
 • tahayarisha
 • izara
 • junaa

Tafsiri[hariri]