Nenda kwa yaliyomo

zabuni

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Kisawe

[hariri]

zabuni (Bid)

  1. ina maana ya mchakato wa kutoa fursa ya kufanya kazi au kutoa huduma kwa kampuni au mtu binafsi kwa njia ya kuchagua kutoka kwa waombaji mbalimbali kwa kuzingatia vigezo vilivyowekwa.

Tafsiri

[hariri]