video

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Muongozaji wa video akiwa kazini

Nomino[hariri]

video

  1. Chombo kidogo aina ya sanduku kinacho tumika kurekodi picha viloko katika runinga/televisheni.
  2. Kurekodi, kunakili au utangazaji wa picha zinazosonga.
  3. Maudhui yanayoonekana au rekodi hunasa picha zinazosonga mara nyingi huambatana na sauti.

Tafsiri[hariri]