upinde

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

upinde (pinde)

  1. mti uliokunjwa na kuunganishwa kwa kamba au ngozi hutumiwa na mshale

Tafsiri[hariri]

Kiingereza: bow (en)