umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu
Mandhari
Ni methali yenye maana sawa na kidole kimoja hakivunji chawa; jiwe moja haliinjiki chungu na jifya moja haliinjiki chungu.
Hutumiwa kuhimiza ushirikiano.