uma

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

uma chombo.

Nomino[hariri]

uma

  1. chombo kinachotumiwa kula chakula na hufanana na reki ila ni ndogo
  2. nasa au bana kwa meno
  3. kuwa na maumivu

Tafsiri[hariri]