ukiritimba

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Ukiritimba kwa lugha ya kimombo huitwa "monopoly", ni hali ya mtu au watu kuchukua nafasi kubwa ya kutawala katika suala lolote liwalo pasi na kuhurumia tapo lingine la wahusika,kwa mfano ukiritimba katika biashara ambapo kampuni moja yaweza kuwa yatawala soko na bidhaa zake.