ugomvi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Ugomvi ni tukio la mgogoro baina ya pande mbili au zaidi zinazo tofautiana, linasalosababisha ghasia, kurushiana maneno makali na hata kupigana.

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

ugomvi

  1. fujo baina ya watu kwa maneno