Nenda kwa yaliyomo

theluji inayoyeyuka

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]
theluji inayoyeyuka

Nomino

[hariri]

theluji inayoyeyuka (Theluji inayoyeyuka)

  1. Theluji inayoyeyuka; tope laini ambalo huwa mchanganyiko wa chembechembe za barafu au theluji ni iliyoyeyuka; maji na vumbi na aghalabu rangi yake huwa ni kijivu au kahawia.


Tafsiri

[hariri]