tetemeko la ardhi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Tetemeko la ardhi china

Nomino[hariri]

tetemeko la ardhi

Pronunciation[hariri]

  1. Tetemeko kubwa laweza kusababisha uharibifu mkubwa na vifo, hasa kutokana na majengo yanayoanguka.

Baharini tetemeko laweza kusababisha tsunami, yaani wimbi kubwa lenye hatari pale linapofika pwani.

Tafsiri[hariri]