tamu ikizidi tamu huwa si tamu tena
Mandhari
Msemo 'tamu ikizidi tamu huwa si tamu tena' ni methali yenye maana kuwa utamu wa kitu au jambo unapopita mipaka huwa hauna raha tena.
Hutumiwa kufunza kuwa kila jambo hata liwe zuri kiasi gani sharti liwe na kipimo kifaacho.