taarifa ya mashtaka

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

taarifa ya mashtaka (wingi taarifa za mashtaka)

  1. maneno yanayosomwa katika korti wakati wa mashtaka

Tafsiri[hariri]