Nenda kwa yaliyomo

swala

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

swala (wingi maswala)

  1. jambo fulani lenye umuhimu
  2. ibada maalum ya dini ya kiislamu
  3. Jina la jumla la wanyama walanyasi wenye pembe na miguu myembamba.


Tafsiri

[hariri]