stratosphere
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]Ni safu ya pili ya angahewa unapoenda juu. Troposphere, safu ya chini kabisa,iko chini ya stratosphere. Safu inayofuata ya juu juu ya stratosphere ni mesosphere.
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza stratosphere (en)