Nenda kwa yaliyomo

sintofahamu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

sintofahamu; pia siutafahamu

  1. Hali ya kutokuelewa au kukosa uhakika kuhusu jambo fulani.
  2. Hali ya kuchanganyikiwa akilini au kutoelewa kinachoendelea.

Matumizi[hariri]

  • Marehemu aliacha familia yake katika sintofahamu kuhusu urithi wake.
  • Baada ya kusikia taarifa hizo, alijawa na sintofahamu kuhusu hatma yake.

Uhusiano[hariri]