Nenda kwa yaliyomo

sinia

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

sinia (Kiswahili)[hariri]

Sinia

Nomino[hariri]

sinia (wingi: sinia)

  1. Chombo kikubwa, chepesi, kilichotengenezwa kwa chuma, plastiki, au mbao, kinachotumika kubebea na kuwekea vitu, hasa chakula.

Matamshi[hariri]