Nenda kwa yaliyomo

sikitika

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kitenzi

[hariri]

sikitika

  1. kuwa na hali ya huzuni kwa ajili ya jambo baya lililotendeka au kwa sababu fulani iliyoko; kuwa na simanzi; huzunika.