shoga

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

shoga

  1. mtu ambaye ana hisia za kike. Yaani mwanamme anayetaka kufanya mapenzi na mwanamme mwenziwe.
  2. rafiki uliyeshibana naye kiurafiki.

Tafsiri[hariri]