Nenda kwa yaliyomo

shira

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]
dau zenye shira.
shira ya miraba minne.

Nomino

[hariri]

shira (wingi mashira)

  1. kitambaa kinachotumiwa na vyombo vya bahari kupeleka vyombo hivyo upepo unapovuma

Tafsiri

[hariri]