Nenda kwa yaliyomo

shada

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

1.Shada-ni sehemu ya ua ya kiume ya mmea wa mahindi.Vile vile ni ncha ya shina ya mmea inayoitwa mbelewele inapoishia.

2.Pia neno 'shada'- ni kiburunguta au kifurushi cha maua mengi yaliyochumwa ama kutengenezwa yakiwa yamefungiwa pamoja. Maua hayo huitwa shada la maua.

3. Aina ya msalaba huitwa shada - msalaba wa shada.