seli

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

seli (wingi maseli)

  1. kipande kidogo kabisa chenye uhai kinachoonekana kwa mikroskopu
  2. mahali mahabusu hufungiwa
  3. uyuzaji wa bidhaa chini ya bei ya kawaida

Tafsiri[hariri]