puya

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

puya (puya)

  1. aina ya pombe tamu iliyotengenezwa na wimbi
  2. tumbaku ya kusokotwa
  3. sukari inayotumika kutengeneza pombe
  4. uongo

Tafsiri[hariri]

Luhya: kamalwa (luy)