pojaa
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Kitenzi
[hariri]- Pojaa - kunywea au kupungua. Kisawe cha "nywea."
Kauli za vitenzi au unyumbulifu wa vitenzi
[hariri]poja.a kt [ele] nywea; sinyaa. (tde) pojalia, (tdek) pojalika; (tds) pojaza; (tdw) pojawa.
Tafsiri
[hariri]Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana. |