Nenda kwa yaliyomo

panzi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

What the hell?

panzi.

Nomino

[hariri]

panzi

  1. mdudu jamii ya nzige lakini mdogo aliye na mwili mrefu,meno meusi mawili,mbawa nne na miguu sita na miwili ya nyuma hutumika kuruka na kujikinga

Tafsiri

[hariri]