Nenda kwa yaliyomo

pafu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

pafu (wingi mapafu)

  1. kiungo cha viumbe kilicho kifuani kinachotoa hewa chafu baada ya kuingiza hewa safi kwenye damu

Tafsiri

[hariri]