pachipachi
Mandhari
Kiswahili
[hariri]nomino
[hariri]pachipachi nm [ i-/zi-] nafasi baina ya mapaja: Ameificha katika ~ ya mapaja
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana. |