Nenda kwa yaliyomo

ongopa

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Kitenzi

[hariri]
  1. ongop.a kt [sie] danganya, laghai, tapeli.
  • Mnyumbuliko wa kitenzi; (tde) ongopea, (tden) ongopeana, (tdew) ongopewa; (tdk) ongopeka; (tds) ongopesha.
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana.