ongonga
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Kitenzi
[hariri]- ongong.a kt [sie] sababisha kutapika.
Mnyumbuliko wa kitenzi; (tde) ongongea; (tdk) ongongeka; (tds) ongongesha.
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana. |