Nenda kwa yaliyomo

nadra

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

nadra

  1. chache
  2. Neno hili linamaanisha kitu ambacho hakipatikani kwa urahisi, au ambacho ni chache sana. Linaweza kutumika kwa vitu kama wanyama, vitu vya kale,au hata uwezo wa mtu.

Tafsiri

[hariri]