Nenda kwa yaliyomo

mwavuli

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]
mwavuli

Nomino

[hariri]

mwavuli (wingi miavuli)

  1. chombo kinachotumiwa kukinga mtu kwa mvua au jua na hutengenezwa kwa kuviringwa nguo kwenye kijiti kirefu na huweza funguliwa na kufungwa

Tafsiri

[hariri]