Nenda kwa yaliyomo

mwanga

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

mwanga (wingi mianga)

  1. nuru inayotokana na jua au stima
  2. aina ya mionzi ya kielektronimagneti inayoonekana kwa macho ya binadamu

Tafsiri

[hariri]