Nenda kwa yaliyomo

mshazari

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

KIsawe cha mshazari ni mshadhari. Mshazari ni nomino. Wingi wa mshazari ni mishazari. Mshazari huko katika ngeli ya u-/i-. Mshazari ni neno lilotoka kwa Kiarabu. Mshadhari ni kitambaa cha duara cha kofia iliyoshonwa kwa mkono. Maana ya pili. Mshadhari ni mstari wa upende. Viwawe vyake ni mafyongo na hanamu.

Mstumizi ya mshazari au mshadhari au mafyongo au hanamu au mkwaju. 1. Kuonyeshasha kumbukumbu. Kwa mfano: KUMB. EML/VU/J1. 2. Kuonyesha tarehe. Kwa mfano: tarehe 21/3/2016. 3. Kuonyesha au. Kwa mfano: wanawake/wanaume(wanawake au wanaume), skuli/shule. 4. Hutumika katika anwani ya mdahalishi. Mfano: http://www.mashada.com/