mshahara

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

mshahara (wingi mishahara)

  1. malipo ya kifedha anayopata mtu kila baada ya mwezi kwa kazi anayoifanya

Tafsiri[hariri]

Malipo ya kifedha unayo pats baada ya kazi