Nenda kwa yaliyomo

mnyonge

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

mnyonge (wingi wanyonge)

  1. Mtu asiyejiweza/ Hana uwezo wa kuongea au kutoa mawazo yake/Masikini/Hana maana/Mjinga kifedha

Tafsiri

[hariri]