mkwaju

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

mkwaju (wingi mikwaju)

  1. fimbo ya kutembelea

Visawe[hariri]

Tafsiri[hariri]

Maana ya kwanza. Mkwaju ni fimbo.

Maana ya pili Mkwaju ni nomino yenye maana ya mti unaozaa kwaju ndefu zenye ugwadu na zitumiwazo kuwa ni kiungo cha mchuzi na kinywaji. Mkwaju uko katika ngeli ya u-/i-. Wingi wa mkwaju ni mikwaju.

Maana ya tatu. Mstari mdogo unaochorwa kutegenganisha taarifa mbalimbali zinazohusiana,(/). Visawe vyake ni mshazari na mshadhari.

Maana ya nne. Mkwaju ni mpira uliopigwa kwa nguvu kuelekea golini.

Matumizi ya mkwaju/mshadhari/mshazari.(tazama katika ukurasa wa mshazari).