mkokoteni

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

mkokoteni ya mbao

Nomino[hariri]

mkokoteni (wingi mikokoteni)

  1. gari linalovutwa na mtu la kubebea mizigo

Visawe[hariri]

Tafsiri[hariri]