mkataa wa mabadiliko ya hali ya hewa
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]mkataa wa mabadiliko ya hali ya hewa
- Mkataa wa mabadiliko ya hali ya hewa ni mtu au kundi linalokataa au kupuuza ushahidi wa mabadiliko ya hali ya hewa.
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza climate denier (en)