mgongo

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

mgongo (wingi migongo)

  1. sehemu ya nyuma ya mwili wa binadamu baina ya shingo na kiuno

Tafsiri[hariri]