mazingira
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]mazingira
- Hali na vitu vyote vinavyomzunguka kiumbe hai na kuathiri maisha yake.
Mfano
[hariri]- Uharibifu wa mazingira unaweza kupelekea milipiko ya magonjwa.
- zama za viwanda ndio zama ambazo zilisababisha uharibifu mkubwa wa mazingira duniani.
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza:environment (en)