Nenda kwa yaliyomo

majadiliano

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

majadiliano (discussion)

  1. ni mchakato wa kubadilishana mawazo, mitazamo, na maoni kuhusu suala fulani kati ya watu au makundi ya watu.

Tafsiri

[hariri]