Nenda kwa yaliyomo

magonjwa ya mlipuko

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]
magonjwa ya mlipuko wa Ebola Afrika Magharibi 2014 - Wagonjwa Wapya kwa Wiki

Nomino

[hariri]

magonjwa ya mlipuko

Pronunciation

[hariri]

  1. Epidemiki (kiasili ni Kigiriki; pia: epidemia, magonjwa ya mlipuko, mlipuko wa magonjwa) hutokea wakati maambukizi ya ugonjwa fulani yanaenea haraka na kuathiri watu wengi kwa muda mfupi katika eneo fulani.

Tafsiri

[hariri]