lofa

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

lofa (wingi malofa)

  1. mtu anayezururazurura kwa kutokuwa na kazi
  2. aina ya kiatu isiyokuwa na kamba

Tafsiri[hariri]