kuongezeka kwa asidi baharini
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Kielezi
[hariri]kuongezeka kwa asidi baharini
- Kuongezeka kwa kiwango cha asidi katika maji ya bahari kutokana na kunyonya dioksidi ya kaboni (CO₂), kutoka angani.
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza : ocean acidification (en)