konokono

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

konokono mdudu.

Nomino[hariri]

konokono

  1. mdudu asiye na miguu,anayepatikana wakati wa mvua au mahali penye unyevu na hutembea polepole
  2. mtu mwenda pole


Tafsiri[hariri]