Nenda kwa yaliyomo

konga

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Kitenzi elekezi

[hariri]
  1. kong.a3 kt [ele] kusanya vitu au watu.; Unyumbuliko wa kitenzi (tde) kongea; (tdk) kongeka; (tdn) kongana; (tds) kongesha; (tdw) kongwa.
  2. Kuingiza mtu katika matatizo (sio rasmi). Mfano; "Umenikonga kujiingiza katika kubashiri timu. Ona sasa nimeliwa pesa zangu."
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana.