kombamwiko

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

kombamwiko.

Nomino[hariri]

kombamwiko (wingi makombamwiko)

  1. mdudu anayeishi nyumbani mwa binadamu kwa kula na kusambaza uchafu na kutafuna vitu na ana rangi ya kahawia,miguu sita na mbawa nne

Visawe[hariri]

Tafsiri[hariri]