kiwango cha uakisi kwenye barafu
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]kiwango cha uakisi kwenye barafu
- kiasi cha mwanga au mionzi inayoakisiwa au kurudishwa kutoka kwenye uso wa barafu.
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza : ice-albedo feedback (en)