Nenda kwa yaliyomo

kisanduku

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kisanduku[hariri]

Kisanduku ni chombo kidogo cha kuhifadhia vitu mbalimbali kwa sababu za kiusalama au matunzo.

Tafsiri[hariri]

  • Kiingereza : small box
  • Kifaransa: petite boîte